Walioitwa kwenye Usaili MDAs NA LGAs 03-02-2026

Walioitwa kwenye Usaili MDAs NA LGAs 03-02-2026 AJIRA PORTAL

Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili MDAs NA LGAs 03-02-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14/02/2026 hadi 14/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapa.
Walioitwa kwenye Usaili MDAs NA LGAs 03-02-2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom