Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Kufuatia kukamilika kwa usaili wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 17 Novemba, 2025, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao hapa chini kuwa, wamefaulu usaili na kuchaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama. Wahusika wote watatumiwa barua zao za ajira kwenye barua pepe zao (email) na kufuata maelekezo yaliyotolewa kwenye barua husika.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.