Hii hapa Orodha ya Waliochaguliwa JKT Kidato cha Sita 2026 PDF Majina Yote Haya Hapa, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, anatoa wito kwa Vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita mwaka 2026, kutoka shule zote za Tanzania Bara na Visiwani kuhudhuria Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria) kwa mwaka 2026. Sanjari na wito huo, JKT limewapangia Makambi watakayo kwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01 Juni hadi tarehe 07 Juni 2026.
Vijana hao wamepangwa katika Kambi za JKT zifuatazo; Rwamkoma JKT-Mara, Msange JKT-Tabora, Ruvu JKT na Kibiti JKT-Pwani, Mpwapwa JKT na Makutupora JKT- Dodoma, Mafinga JKT-Iringa, Mlale JKT-Ruvuma, Mgambo JKT na Maramba JKT-Tanga, Makuyuni JKT na Oljoro JKT- Arusha, Bulombora JKT,Kanembwa JKT na Mtabila JKT- Kigoma, Itaka JKT-Songwe, Luwa JKT na Milundikwa JKT- Rukwa, Nachingwea JKT- Lindi na Chuo cha Uongozi JKT (CUJKT) Kimbiji- Dar es Salaam.
Angalia majina ya waliochaguliwa kujiunga JKT 2026 Form six JKT Selection 2026-2027 hapa.
Tovuti ya JKT Tanzania
Wito wa kujiunga JKT Kidato cha Sita 2026