Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha wasailiwa wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,Wizara ya Elimu na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania(TLSB) ambao usaili wao wa mahojiano ulipangwa kufanyika tarehe 27 Mei,2026 kuwa usaili huo utafanyika tarehe 28 Mei,2026