Hizi hapa nyaraka zinazo hitajika kuomba cheti mbadala na uthibitisho wa matokeo NECTA
1. Hati ya Polisi ya upotevu wa cheti.
2. Ukurasa wa gazeti wenye tangazo la upotevu wa cheti.
3. Barua kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji au serikali ya mtaa kuhusu kuungua/kupotea kwa cheti kutokana na moto, mafuriko, mchwa, panya, au uharibifu mwingine wowote.
4. Mabaki ya cheti kilichoharibika (kama yapo).
5. Nakala moja wapo ya kitambulisho (Kitambulisho cha Taifa, kupiga kura, leseni ya udereva au passport ).
6. Picha (Passport size).
8. Fanya Maombi Kupitia tovuti ya www.necta.go.tz