- Views: 139
- Replies: 2
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 142 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Download PDF hapa.
Download PDF hapa.
