Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.
- AFISA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS OFFICER GRADE II)
- AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II (CULTURAL OFFICER GRADE II)
- MJIOLOJIA DARAJA LA II (GEOLOGIST GRADE II)